Download Alilipa Deni Langu Mp3 Download MP3 (10.09 MB) - Panjat Lagu

Alilipa Deni Langu Mp3 Download

Download Lagu Alilipa Deni Langu Mp3 Download (10.09 MB) MP3 terpopuler hanya di panjatlagu plus kumpulan gudang lagu terbaik juga gratis
Alilipa Deni Langu Mp3 Download


Title : Alilipa Deni zangu Song Pendo Kuu Mamajusi Choir Mp3
Uploader : Lucas Kaaya
Duration : 07:21
Size : 10.09 MB
Audio : mp3, 44100 Hz, stereo, s16p, 128 kb/s
Source : iTunes.com
About Alilipa Deni zangu | Song: Pendo Kuu | Mamajusi Choir | Lyrics Mp3:

Song: Pendo Kuu
Artist: Mamajusi Choir

Song Lyrics:

Verse 1
Pendo kuu la Yesu
lilitosha Kalvari
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alinipenda Yesu
Akaingia gharama
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari

Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari

Verse 2
Yesu Atuchunga,
Mchunga Wetu
Naye Atufuta
machozi yetu
Mkononi Mwake
hatuna hofu
Daima twapata
kwake wokovu

Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

Verse 3
Namtolea Yesu
Nampa moyo wote
Ntampenda Yesu namwandama kila saa
Chini ya msalaba
nataka simama
Ndiye mwamba safarini
Kwa kivuli chema

Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

Verse 4
Nataka nifahamu
nizidi kupambanua
Mapenzi Yake nifanye
yanayompendeza
Nataka nikae naye
kwa mazungumzo
Nizidi kuwaonyesha
wengine wokovu Wake

Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari